Friday, 20 March 2015

MRADI WA MAJI YA KUTOKA ZIWA VICTORIA HATIMAE WAFIKA WILAYANI KISHAPU

Nafikiri kiu cha wazalendo wa kishapu kinaelekea kwenda kumalizika mara baada ya wakazi wa wilaya hiyo kusubiri kwa mda mrefu hatimae cha malizika mara baada ya mkuu wa wilaya ya kishapu mhe MR.WILSON
NHKAMBAKU akiwa na Wakuu wa idara mbalimbali wa wilaya hiyo tayari kabisa kwa mpango wa kuingiza maji kutoka ziwa victoria kwenda wilaya ya kishapu iliyopo mkoa wa SHINYANGA napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa mhe; MR.WILSON
NHKAMBAKU kwa jambo alilolifanya kwa wilaya yake tunamshukuru sana na pia mimi binafsi namwomba aendelee kua na moyo kama huu