Thursday, 19 March 2015

KISHAPU HIGH SCHOOL

wanafunzi wa shule ya sekondari kishapu iliyoko mkoa wa shinyanga wilaya ya kishapu,wanafunzi wa kidato cha sita waweza kunyag'anywa simu walizokua wanatumia kwa siri ndani ya mabweni wanayoishi baada ya kukundulika wamenyanganywa na mkuu wa shule mwl HOSEA MAGANGA SOMI akishilikiana na mwl mkuu msaidizi mwl YOHANE KUSEKWA na kuzipondaponda mbele ya wanafunzi wa madarasa ya cha chini kuanzia kidato cha 1,2,3,4 na yote hayo si makosa ya walimu walezi lakini ni kwa ajiri ya kukomaza na kuimairisha elimu ya tanzania asanteni sana